Majizzo ana elimu gani?MAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana.
Pia wape Uhuru wa kuchambua mambo ya nchi watangazaji wako akiwemo Maulid Baraka Kitenge ambaye naye kuna tetesi ulitaka kumla kichwa kwa kitendo cha kumhoji Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu Deni la Taifa.
Labda Majizo chawa wa Rais Samia.Majizo anauelewa gani? Hao ndiyo wanaishi mjini kwa kiujanja ujanja tu........
🤣🤣 InawezekanaLabda Majizo chawa wa Rais Samia.
Ya chuo kikuuu cha mtaaaniMajizzo ana elimu gani?
"Tuzi" mpya hiiUsione anakoromea wafanyakazi wake, tatizo ana makando kando yake...
Akichezea tu sharubu za serikali, anaweza akaanikwa namna anavyochezea tuzi za 'vijana wa mjini'
Majizo kapokea maelekezo toka MsogaMAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana.
Pia wape Uhuru wa kuchambua mambo ya nchi watangazaji wako akiwemo Maulid Baraka Kitenge ambaye naye kuna tetesi ulitaka kumla kichwa kwa kitendo cha kumhoji Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu Deni la Taifa.
Ya hapa na paleMajizzo ana elimu gani?
Nadhani hiyo pressure ameipata kwa akina january na nape na si mwingineMAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana.
Pia wape Uhuru wa kuchambua mambo ya nchi watangazaji wako akiwemo Maulid Baraka Kitenge ambaye naye kuna tetesi ulitaka kumla kichwa kwa kitendo cha kumhoji Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu Deni la Taifa.
Majizo ni chawa wa JKLabda Majizo chawa wa Rais Samia.
Samia amkana Majizo kukosolewaMAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana.
Pia wape Uhuru wa kuchambua mambo ya nchi watangazaji wako akiwemo Maulid Baraka Kitenge ambaye naye kuna tetesi ulitaka kumla kichwa kwa kitendo cha kumhoji Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu Deni la Taifa.
Hivi Mkuu inakuaje mtu kama Maulid awe employee wa Majizzo na wakati jamaa kila siku naona yupo ulaya na MarekaniMAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana.
Pia wape Uhuru wa kuchambua mambo ya nchi watangazaji wako akiwemo Maulid Baraka Kitenge ambaye naye kuna tetesi ulitaka kumla kichwa kwa kitendo cha kumhoji Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu Deni la Taifa.
Jamani elimu hata kwenye kusikia tu ?Majizzo ana elimu gani?