BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Waambie watulizane....
Kwa hiyo ndio umekuja kutufokea sisi kama ndio majirani zako!
ongea na bill lugano akutafutie kiwanja maeneo ya huku kwetu.Moja ya changamoto kubwa ambayo nimewahi kukutana nayo ni hii ya majirani kumuonea wivu mke wangu.
Nilikua nikipatwa na hasira sana napokutana na mtu wa mtaani na kuanza kunieleza kuwa Mara ooh shemeji tukipishana nae njiani akiwa kwenye gari hasimami Wala kusalimia.
Sasa mtu yupo na haraka zake na pengine hajakuona, kweli apite asimame aanze kumsalimia kila mmoja?
Wengine mara kukiwa na shughuli hahudhurii, hii niliikataa sababu ni mtu ambae amekua akijitoa sana kuhudhuria shuhuli zote za mtaani kuliko Mimi.
Ikitokea hajahudhuria basi ni kwa bahati mbaya Sana na ni Mara chache na ndio hizo wenzetu walikua wanahesabu.
Ilinichukua muda sana kugundua kuwa wana wivu mkubwa sana na huyu mke wangu. Na hilo suala niliapa kulikomesha.
Ilifikia wakati nikajiuliza, tatizo ni uzuri wake? Sijawahi kuona ana shida yoyote ni mtu poa na Safi Sana kuliko maelezo. Lakini pia sio kila mtu anapenda tabia za uswahili za kujichanganya sana. Watu wao busy na mambo yao, fanyeni yenu.
Najua wengi poa mmewahi kukutana na changamoto hizi za majirani kuona wivu.
[emoji85] wee nae mchochezi tu[emoji4]Nasubiri muda wa kiingereza [emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi kiingereza?😂😂😂Utasubiri sana
Me naenjoy tu lugha ya kibeberu mkuu😂😂😂[emoji85] wee nae mchochezi tu[emoji4]
Haya Yanatokea Eneo Gani Hapa Tanzania
Nataka Nikuunganishe Ukamuone Rais
Umwambie Hili Kuhusu Hao Majirani
Fuata Haya Maelekezo Chap Tutatue Tatizo Lakobuza
Sina uhakikaUna matatizo ya akili?
Nasubiri muda wa kiingereza [emoji23][emoji23][emoji23]
Pongez Sana mkuu[emoji4]
Jf MMU ustawi wa jamii, mteja wenu uyu mhudumieni