Majirani wanamuonea wivu mke wangu

Majirani wanamuonea wivu mke wangu

Hama uswahilini unakoishi. Sisi tunaokaa ushuani hata jirani akifa unaweza usijue.
 
wabongo tunajipatia mawazo bure mimi niko uswahilini huku dodoma ila changamoto za waswahili sijawahi zishuhudia kwa kuwa nakua busy na mambo yangu sipigi stori na majirani zaidi ya salamu shughuli za kijamii nitahudhuria hasa misiba na majanga mengine
 
Back
Top Bottom