Majirani wanamuonea wivu mke wangu

Majirani wanamuonea wivu mke wangu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Moja ya changamoto kubwa ambayo nimewahi kukutana nayo ni hii ya majirani kumuonea wivu mke wangu.

Nilikua nikipatwa na hasira sana napokutana na mtu wa mtaani na kuanza kunieleza kuwa Mara ooh shemeji tukipishana nae njiani akiwa kwenye gari hasimami Wala kusalimia.

Sasa mtu yupo na haraka zake na pengine hajakuona, kweli apite asimame aanze kumsalimia kila mmoja?

Wengine mara kukiwa na shughuli hahudhurii, hii niliikataa sababu ni mtu ambae amekua akijitoa sana kuhudhuria shuhuli zote za mtaani kuliko Mimi.

Ikitokea hajahudhuria basi ni kwa bahati mbaya Sana na ni Mara chache na ndio hizo wenzetu walikua wanahesabu.

Ilinichukua muda sana kugundua kuwa wana wivu mkubwa sana na huyu mke wangu. Na hilo suala niliapa kulikomesha.

Ilifikia wakati nikajiuliza, tatizo ni uzuri wake? Sijawahi kuona ana shida yoyote ni mtu poa na Safi Sana kuliko maelezo. Lakini pia sio kila mtu anapenda tabia za uswahili za kujichanganya sana. Watu wao busy na mambo yao, fanyeni yenu.

Najua wengi poa mmewahi kukutana na changamoto hizi za majirani kuona wivu.
nakushauri kaa vizuri na majirani, kuna mengi utayajua ya mkeo na mtasaidiana maisha kijamii. a lot of things hauvijui kabisa.
 
Do not bother while you know that you're right in what your doing as in this life you cannot please each and everyone & that Majungu is part of life.
 
Moja ya changamoto kubwa ambayo nimewahi kukutana nayo ni hii ya majirani kumuonea wivu mke wangu.

Nilikua nikipatwa na hasira sana napokutana na mtu wa mtaani na kuanza kunieleza kuwa Mara ooh shemeji tukipishana nae njiani akiwa kwenye gari hasimami Wala kusalimia.

Sasa mtu yupo na haraka zake na pengine hajakuona, kweli apite asimame aanze kumsalimia kila mmoja?

Wengine mara kukiwa na shughuli hahudhurii, hii niliikataa sababu ni mtu ambae amekua akijitoa sana kuhudhuria shuhuli zote za mtaani kuliko Mimi.

Ikitokea hajahudhuria basi ni kwa bahati mbaya Sana na ni Mara chache na ndio hizo wenzetu walikua wanahesabu.

Ilinichukua muda sana kugundua kuwa wana wivu mkubwa sana na huyu mke wangu. Na hilo suala niliapa kulikomesha.

Ilifikia wakati nikajiuliza, tatizo ni uzuri wake? Sijawahi kuona ana shida yoyote ni mtu poa na Safi Sana kuliko maelezo. Lakini pia sio kila mtu anapenda tabia za uswahili za kujichanganya sana. Watu wao busy na mambo yao, fanyeni yenu.

Najua wengi poa mmewahi kukutana na changamoto hizi za majirani kuona wivu.
Inaonekana mnakaa uswahilini sana kaka. Kwa nini mlijenga uswahilini na hayo mambo ya kiswahili hamyawezi?
 
Ahaa wewe ndio yule mwanajeshi! Lakini punguza chumvi mbona mwenyewe gari huna mkeo umemnunulia lini? Utani tu mkuu usijeleta difenda ya kijani
 
Back
Top Bottom