Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,478
- 24,348
Wapo watu wengi sana wanaoidai serekali yetu fedha nyingi sana ambazo kimsingi MALI iliyokuwa supplied haiendani na FEDHA ambazo zinatakiwa zilipwe na serekali yetu.
Wapo waliosupply kalamu na karatasi tu lakini kalamu hiyo iliandikiwa inathamani ya 2500/-,
Na rim moja ya karatasi ikaandikiwa 15000/-
Tunaiomba serekali yetu kabla ya kulipa zabuni yoyote ifanye tathimini kwanza Juu ya malipo husika.
Lisipoangaliwa vyema wajanja wengi wataibia hapa fedha za walalahoi, tunataka maendeleo ya kweli sasa mungu ametupatia rais tulie muhitaji kwa muda mrefu sana.