Isaiah Omondi Maji i
Member
- Aug 26, 2023
- 29
- 12
Yupo sawa kwenye ni nini?ADUI WA MUTU NI MUTU + TANGANIAN + AKO SAWA
Ila kwa logic nyengine huenda yupo sahhi, muda anajua ni mchache wa kuteseka ila mafanikio ni ya muda mrefu, hivyo anaamua bora akuache uteseke kwa muda mfupi ila utakuja kuishi vizuri kwa muda mrefu zaadi,Yaani Mungu mwenyewe kama ni kwenye bibilia na Qurβan lol kasheshe
Mungu wa kwenye hizo dini ni mkali na hana huruma hata kidogo
Ukisoma bibilia na Qurβan utajionea
Huu mfano haukisi yaliyomo dosho12 usinitanie kabisaIla kwa logic nyengine huenda yupo sahhi, muda anajua ni mchache wa kuteseka ila mafanikio ni ya muda mrefu, hivyo anaamua bora akuache uteseke kwa muda mfupi ila utakuja kuishi vizuri kwa muda mrefu zaadi,
Kwa mfano ukimuona mtu anahangaika sana na unajua ana aslimia kubwa ya kufanikiwa kwa jinsi anavyohangaika je utamzuia asihangaike au utamuacha sababu unajua mafanikio yapo karibu tena ya muda mrefu ?
Ndio nakubali watu wanateseka ila huenda ni kwa muda mfupi, kwenye cosmic scale miaka 80 ni muda mchache pia naamini aslimia 80 ya matatizo yanaletwa na binadamu wenyewe hivyo kama tungeishi kwa harmony kama anavyotaka huenda maisha yangekuwa mazuri kiasi,Huu mfano haukisi yaliyomo dosho12 usinitanie kabisa
We huoni watu wanateseka mpaka wanajiua?
Sawa kijana mdogoNdio nakubali watu wanateseka ila huenda ni kwa muda mfupi, kwenye cosmic scale miaka 80 ni muda mchache pia naamini aslimia 80 ya matatizo yanaletwa na binadamu wenyewe hivyo kama tungeishi kwa harmony kama anavyotaka huenda maisha yangekuwa mazuri kiasi,
Najua kuna kitu unataka kuuliza ila unausingizi, kesho tutaendela tenaSawa kijana mdogo
Nikuulize πNajua kuna kitu unataka kuuliza ila unausingizi, kesho tutaendela tena
Hakuna mapepo.Hakuna majini wala mapepo, hivyo ni viumbe dhahania tu!
Haya walokole msiogope maana mapepo hawapo, na pia mkiona nyuzi kama hizi msiziripoti, sawa?
Red black, min -me, Infropreneur njoeni mkaikazie hoja yangu ili apate kukubalika.
Mkuu ulipotelea wapiHakuna mapepo.
Hakuna majini.
Hakuna Shetani.
Hakuna Mungu.
Hakuna uchawi.
ππADUI WA MUTU NI MUTU + TANGANIAN + AKO SAWA
Sawa mkuuelimu yako nina mashaka nayo
Vitabu havijaweka limit ya kujadiliwa kwa mambo ya msingi ila ni kinyume chakeNa hata baada ya kukengeuka angweza kuwafulia mbali viumbe waasisi wote ili walio haki waendelee kumtii na kumwabudu milele.
Hoja ni pana lakini vitabu vimeweka limit ya kutohoji mambo ya msingi. Ikiwa tu kwenye jamii yetu akitokea mtu akawa mwizi nk anafungwa ama kuuliwa kabisa ili kumtenga mbali na jamii ya ambao hawana tabia hizo ili kutokomeza kabisa tabia hiyo isije kurithiwa.
Tufundishe tuondokane na ujinga mkuu karibu sanaVitabu havijaweka limit ya kujadiliwa kwa mambo ya msingi ila ni kinyume chake
Mungu hataki ujadili maneno yake wala uwepo wake kwa maswali ya kipuuzi ndiyo maana tunasistizwa tusome kwa kina kumjua Mungu kabla ya kumjadili
Ila dunia ya sasa tumekuwa na watu wenye maarifa kidocho ila kutwa kucha kujadili masuala makubwa.
No wonder tunazidi kuangamia.
Mkuu lile ni tatizo la afya ya akili. Kama hauamini huyo mtu akamatwe akapimwe uone majibu yatakuwa ni yapi.Kwani hujui kule kanisani mapepo huwabamiza chini bila huruma.
Kwa mfano, kuna mama mmoja hapa jirani anamakovu mwili mzima kwa sababu ya kukatwa mitama na pepo.
Yaani, pepo anakukata mtama na hajali kama utaangukia kiti ama la! π₯²
π πMkuu lile ni tatizo la afya ya akili. Kama hauamini huyo mtu akamatwe akapimwe uone majibu yatakuwa ni yapi.
Waliopandikiza hiyo dhana ya uwepo wa Mungu kupitia dini, walijua watu watahoji kwa logic hivyo watastuka. Ikabidi waweke hivyo vifungu ya kuzuia kujadiliwa. Yaani ukiamua kutumia akili lazima upate shaka na uwepo wa Mungu kwa dhana zinazotokana na imani za dini. huko huhitajiki kutumia akili kumjua Mungu, bali ni imani tu.Chanzo cha uumbaji kinaweza kuwepo ila hizi hadithi za kwenye vitabu
Watu wahataki zihojiwe kama ulivyo ni quote kua Mungu hachunguziki?
Hakika mkuuWaliopandikiza hiyo dhana ya uwepo wa Mungu kupitia dini, walijua watu watahoji kwa logic hivyo watastuka. Ikabidi waweke hivyo vifungu ya kuzuia kujadiliwa. Yaani ukiamua kutumia akili lazima upate shaka na uwepo wa Mungu kwa dhana zinazotokana na imani za dini. huko huhitajiki kutumia akili kumjua Mungu, bali ni imani tu.
Ukishakuta mahali inatakiwa kuamini tu bila kuhoji, hapo jua umepigwa. Halafu hao waumini na viongozi wake ni wakali kweli kwenye hilo la kuhoji. Na sehemu kubwa utakuta wanatumia vitisho vya kisaikolojia kukuzuia kuendelea kuhoji. Na kwa kuwa watu wengi ni waumini wa hizi dini, ni rahisi kukuona kama ww ndio una matatizo na sio unahoji.Hakika mkuu
Mie nimezaliwa kwenye familia ya Muslim nimepelekwa madrassa ila mwalimu wangu alikua ananiita jeuri sina nidhamu kwa sababu ya maswali yangu kwake
Nikaenda ukristo napo niliposoma bibilia madudu ni yale yale inshort Mungu wa hizi dini ana walkini
Kwanza anatofautiana kutoka dini A kwenda dini B