Majina yoote ya waliochaguliwa TCU haya hapa

Status
Not open for further replies.

saggy

Senior Member
Joined
Nov 12, 2008
Messages
153
Points
195

saggy

Senior Member
Joined Nov 12, 2008
153 195
Salamu sana wadogo zangu!

Nawaletea majina ya walichaguliwa TCU kwa mwaka 2011/12

NB:- Kwa wale wadogo zangu Group B ,hamjawa allocated Mkopo toka HESLB but endeleeni kujaribu kufuatilia
-Kumbuka kuwa na Adobe Reader kwenye Kompyuta yako
-Bado naendelea na zoezi la kuyafanya yaweze kufunguka kwenye Ms.Word

Poleni wadogo zangu ambao hamjafanikiwa kuchaguliwa na ninawaomba msikate tamaa kwakuwa bado ni wadogo anzeni kwa kozi za Diploma na mjiendeleze mpaka badaye mtapata sifa za kujiunga na Vyuo ziku zijazo kama mimi kaka yenu.

Mimi kaka yenu Saggy.
 
Attachments:

Wakurogwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Messages
216
Points
170

Wakurogwa

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2011
216 170
Salamu sana wadogo zangu!

Nawaletea majina ya walichaguliwa TCU kwa mwaka 2011/12

NB:- Kwa wale wadogo zangu Group B ,hamjawa allocated Mkopo toka HESLB but endeleeni kujaribu kufuatilia
-Kumbuka kuwa na Adobe Reader kwenye Kompyuta yako
-Bado naendelea na zoezi la kuyafanya yaweze kufunguka kwenye Ms.Word

Poleni wadogo zangu ambao hamjafanikiwa kuchaguliwa na ninawaomba msikate tamaa kwakuwa bado ni wadogo anzeni kwa kozi za Diploma na mjiendeleze mpaka badaye mtapata sifa za kujiunga na Vyuo ziku zijazo kama mimi kaka yenu.

Mimi kaka yenu Saggy.
hapo kaka umetusaidia sana maana kule kwenye web yao ku-access ni ngumu sana ila kwa hapa hakika umetuwezesha sana.
 
saggy

Senior Member
Joined
Nov 12, 2008
Messages
153
Points
195

saggy

Senior Member
Joined Nov 12, 2008
153 195
Mdogo wangu,bado mpaka tarehe 31/09/2011 ndipo majina yoooote yatakuwa yametoka,nitawajulisha wadogo zangu watakaokuwa wamechaguliwa,uwe na subira mdogo wangu
 
saggy

Senior Member
Joined
Nov 12, 2008
Messages
153
Points
195

saggy

Senior Member
Joined Nov 12, 2008
153 195
Wadogo zangu wale wenye Categor ya '' Science'' na'' Education'' mtapewa kipaumbele wakati wa kupata mkopo katika awamu zijazo,kwa wale wadogo zangu ambao mumeandikiwa ''NON PRIORITY'' kwakweli kuna uwezekano mkubwa msipate kabisa,lakini bado nawasisitiza msikate tamaa,enedeleni kufuatilia hadi kielewekee.
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,353,244
Members 518,297
Posts 33,075,567
Top