- Kuna haja yakuuliza kwa M7 atufafanulieIbara ya 103, ibara ndogo ya 12b, majina yasiyopungua matatu.....
Halafu jina moja, liko ndani ya......
I'm totally confused
Halafu Gen Z wa Kenya wakituchamba, tunaanza kulalamika!Majina yasiyopungua matatu maana yake ni kuanzia majina matatu, kuonyesha hajui anachoongea anasema jina moja liko chini ya majina matatu.
Kuna watu wao kila kitu wanasifia na ndiyo wanatamani kuwa viongozi, were fucked.
Eti hawa ndo wamejazana kwenye vyombo vya kufanya maamuzi ya nchi, na ni kutoka humu ndo tunapata pia wawakilishi wetu wanaotuwakilisha kwenye mikataba ya Kimataifa,..Majina yasiyopungua matatu maana yake ni kuanzia majina matatu, kuonyesha hajui anachoongea anasema jina moja liko chini ya majina matatu.
Kuna watu wao kila kitu wanasifia na ndiyo wanatamani kuwa viongozi, were fucked.
Eti Mkuu..Na njemba zikanyanyuka na kushangilia kabisa hata hazielewi kilichosemwa😂😂
Panazidi kuchangamkaWapendwa wana jukwaa, ni matumaini yangu mko salama.
Lengo la uzi huu ni kutaka kueleweshwa endapo katiba ya chama haikuvunjwa kwa mujibu wa clip fupi hapa chini
View attachment 3413313
Mh. Balozi Polepole yuko sahihi.Jina ni moja
Majina ni kuanzia mawili.
Sasa jina moja hapo sio majina.
Ndio uhuni tunaouongelea Kila kukicha.
TISS ifanye kazi yake ili viongozi wajinga wajinga kama huyu dada wawe wanakatwa mapema ili kuweka taswira ya nchi yetu safi ndani na nje ya mipaka yetu.Panazidi kuchangamka
Usimsikilize huyo yeye mpiga debe tu anaejua jina moja akilikomalia likapita basi mbele ana ulaji wa kutisha ushaelewa yaan huyo ni sawa na wale wapiga debe kwenye daladala, kwa hio asikuumize kichwa issue ni majina matatu yaletwe sio yasiyopungua matatu majina ni matatu kamiliIbara ya 103, ibara ndogo ya 12b, majina yasiyopungua matatu.....
Halafu jina moja, liko ndani ya......
I'm totally confused
Huyo ni viti maalum kutoka Mwanza hajachaguliwa na WananchiTISS ifanye kazi yake ili viongozi wajinga wajinga kama huyu dada wawe wanakatwa mapema ili kuweka taswira ya nchi yetu safi ndani na nje ya mipaka yetu.
Ni muhimu kuwa na viongozi Wazalendo ambao kwao maslahi ya nchi yanatangulia, halafu ya kwao na familia zao yanafuata.
Nina imani kabisa kwamba TISS wakiamua, hili liko ndani yao
Pascal Mayalla
TumainiEl
Jina MOJA mfano Sakuminga Chambwene MbwinaJina ni moja
Majina ni kuanzia mawili.
Sasa jina moja hapo sio majina.
Ndio uhuni tunaouongelea Kila kukicha.
Bado wanaweza kutusaidia kuwachuja hata hao viti Maalum ili tupate viongozi Wazalendo Mkuu.Huyo ni viti maalum kutoka Mwanza hajachaguliwa na Wananchi
Inabidi mchakato urudiwe upya.Jina MOJA mfano Sakuminga Chambwene Mbwina
HILO NI JINA MOJA
Majina MATATU mfano
1. Sakuminga Chambered Mbwina
2. Chabulanga Mwenea Mbina
3. Malofe Bwenea Mwinga
HAYO NI MAJINA MATATU
Sasa hilo lihuni toto la Mzee Kimani lipiga debe limekomaa kwamba kwenye majina MATATU kuna jina moja, sawa kuna majina MATATU yaletwe yote MATATU