Naam, na ukiona mtu anaitwa OleFulani, maana yake hilo siyo jina lake. Bali ni mtoto wa Fulani.Wengi wanachanganya, OLE ni sawa na neno BIN ambalo limechukuliwa ktk lugha ya Kiarabu hivyo siyo jina. Mfan mimi Nkaitwa, Abdul Ole Sungita(Abdul Bin Sungita), John Ole Joseph Magufuli
Hahahahaha I have my young anapenda kujiita G nayeye pia anaitwa Glory ntaanza kumuita giloogiloo = glory
Au Manuu....ndo Emmanuel eti😛giloo = glory
Lomooni sio mtu anaependa salamu ndefu arif?Lomayani=Atakaebarikiwa.
Saitabau=Atafikisha
Loserian=Mtu wa Amani
Leng'ida=Mtu wa furaha
Lengarip=mtu Wa ukarimu
Lovoi=mtu wa kubembelezwa
Lomayani=mtu wa kubarikiwa
Loigwan=mtu aliyefunzwa
Loomoni=mtu anaeombwa
Lengume=mtu wa pua
Lengutuk=mtu wa mdomo
Lengai=mtu wa MUNGU
Olais=Malaika
OLmagilani=Anaeokoa
OLkima=Kima
Oloikuma =Kobe
OLmakofuli=Lesukuma
Olekoromije=Bashite
Kazi kwako
Hahaha, Hatuwezi kumalizia Glory. Tunasema GlooHahahahaha I have my young anapenda kujiita G nayeye pia anaitwa Glory ntaanza kumuita giloo
Loomoni maana yake anayeombwa na kusaidia.Lomooni sio mtu anaependa salamu ndefu arif?
Ila unakuta tu mtu anaitika
Eeee
Eeee
Eeee
Eeee
Hapana mtoto wa mama ake mama mamdogo wangu kabisa.atakuwa njombaako bhaaah
Ashe nale ndauwoLoomoni maana yake anayeombwa na kusaidia.
Ilomon ndiyo hayo mazungumzo.
Ukitaka kumaanisha anayependa hayo mazungumzo ya kujuliana hali, basi itabidi kuwa Loolomoni.
Aya ndauwo Lai.Ashe nale ndauwo
Haha atajua mwenyew la kuchaguaHahahahaha, Naishiye ni la kike. Lengisugi hawezi kupewa mpaka maana linasadifu mvuta Ugoro.
Laizer pia haifai kupewa, hilo ni jina la Ukoo. Kama yeye ni wa Ukoo wa Laizer maana yake atakuwa Laizer tu.
Kama yeye siyo, huwezi kumpa mtoto jina la Ukoo mwingine