ambili JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 243 Reaction score 15 Jan 10, 2011 #1 Hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana? Mfano: 1. DEMU 2. MLUPO 3. SHORI 4. KISHTOBE 5. MANZI 6. SISTA DUU 7. SKETI Kama unayajua mengine unaweza ongezea
Hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana? Mfano: 1. DEMU 2. MLUPO 3. SHORI 4. KISHTOBE 5. MANZI 6. SISTA DUU 7. SKETI Kama unayajua mengine unaweza ongezea
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,193 Reaction score 18,221 Jan 10, 2011 #4 kibwengo ngifi sweetheart tunda kimeo
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,003 Jan 10, 2011 #5 Dada zetu mwana majina kwelikweli!
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 10, 2011 #6 Ya wanaume. Kenge mamba jibwa poyoyo mbwiga buzi kidumu ..... Nitaendelea b'dae.
The Farmer JF-Expert Member Joined Jan 7, 2009 Posts 1,658 Reaction score 559 Jan 10, 2011 #7 ambili said: hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana? Mfano: 1. Demu 2. Mlupo 3. Shori 4. Kishtobe 5. Manzi 6. Sista duu 7. Sketi kama unayajua mengine unaweza ongezea Click to expand... 8. Kicheche
ambili said: hivi ni kwa nini wasichana wanapewa majina tofauti na wavulana? Mfano: 1. Demu 2. Mlupo 3. Shori 4. Kishtobe 5. Manzi 6. Sista duu 7. Sketi kama unayajua mengine unaweza ongezea Click to expand... 8. Kicheche
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Jan 10, 2011 #8 acid said: kibwengo ngifi sweetheart tunda kimeo Click to expand... Hii imenifanya nicheke sana
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 10, 2011 #9 Acid said: kibwengo ngifi sweetheart tunda kimeo Click to expand... kibwengo maana yake mchawi.
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,508 Jan 10, 2011 #10 Husninyo said: Ya wanaume. Kenge mamba jibwa poyoyo mbwiga buzi kidumu ..... Nitaendelea b'dae. Click to expand... Husninyo mpenzi umesahau wakati mwingine huwa tunayaita taahira
Husninyo said: Ya wanaume. Kenge mamba jibwa poyoyo mbwiga buzi kidumu ..... Nitaendelea b'dae. Click to expand... Husninyo mpenzi umesahau wakati mwingine huwa tunayaita taahira
TATIANA JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 4,695 Reaction score 2,449 Jan 10, 2011 #11 shosti said: husninyo mpenzi umesahau wakati mwingine huwa tunayaita taahira Click to expand... bila kusahau; kunguru buzi zezeta.
shosti said: husninyo mpenzi umesahau wakati mwingine huwa tunayaita taahira Click to expand... bila kusahau; kunguru buzi zezeta.
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,508 Jan 10, 2011 #12 TATIANA said: bila kusahau; kunguru buzi zezeta. Click to expand... zoba na kubwa jinga
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Jan 10, 2011 #13 Husninyo said: kibwengo maana yake mchawi. Click to expand... Dah!!! Unakuwa unaita yule kibwengo anakuja watu noma aisee
Husninyo said: kibwengo maana yake mchawi. Click to expand... Dah!!! Unakuwa unaita yule kibwengo anakuja watu noma aisee
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Jan 10, 2011 #14 TATIANA said: bila kusahau; kunguru buzi zezeta. Click to expand... machipanzee minyoo ...... nitaendelea walikuwa wanafikiri wao hawana majina.
TATIANA said: bila kusahau; kunguru buzi zezeta. Click to expand... machipanzee minyoo ...... nitaendelea walikuwa wanafikiri wao hawana majina.
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Jan 10, 2011 #15 shosti said: Husninyo mpenzi umesahau wakati mwingine huwa tunayaita taahira Click to expand... Kuna jamaa alikuwa anamuita mwanamke wake hivi
shosti said: Husninyo mpenzi umesahau wakati mwingine huwa tunayaita taahira Click to expand... Kuna jamaa alikuwa anamuita mwanamke wake hivi
The Finest JF-Expert Member Joined Jul 14, 2010 Posts 21,605 Reaction score 6,097 Jan 10, 2011 #16 husninyo said: machipanzee minyoo ...... Nitaendelea walikuwa wanafikiri wao hawana majina. Click to expand... ha ha ha ha watu wameguswa naona wameamua ku-hit back
husninyo said: machipanzee minyoo ...... Nitaendelea walikuwa wanafikiri wao hawana majina. Click to expand... ha ha ha ha watu wameguswa naona wameamua ku-hit back
TATIANA JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 4,695 Reaction score 2,449 Jan 10, 2011 #17 husninyo said: machipanzee minyoo ...... Nitaendelea walikuwa wanafikiri wao hawana majina. Click to expand... hahaaa,safi sana. Yalete mwaya maana wamezidi kutuonea.
husninyo said: machipanzee minyoo ...... Nitaendelea walikuwa wanafikiri wao hawana majina. Click to expand... hahaaa,safi sana. Yalete mwaya maana wamezidi kutuonea.
TATIANA JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 4,695 Reaction score 2,449 Jan 10, 2011 #18 the finest said: ha ha ha ha watu wameguswa naona wameamua ku-hit back Click to expand... mlidhani tutakaa kimya eeh! Pole yenu.
the finest said: ha ha ha ha watu wameguswa naona wameamua ku-hit back Click to expand... mlidhani tutakaa kimya eeh! Pole yenu.
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,838 Jan 10, 2011 #19 milupo k
tracy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2010 Posts 784 Reaction score 268 Jan 10, 2011 #20 TATIANA said: bila kusahau; kunguru buzi zezeta. Click to expand... ATM,Zoba,Mwanaume jina,Kisirani,Simba mla majani.,em ngoja niulize tena.
TATIANA said: bila kusahau; kunguru buzi zezeta. Click to expand... ATM,Zoba,Mwanaume jina,Kisirani,Simba mla majani.,em ngoja niulize tena.