Munkari jina lake lina maanisha ni mrembo, amechanua, mtundu - anapenda kuchezacheza kama vile kumtekenya mtu, ana wivu wa kutosha, macho makali, anapenda kudeka.Na Munkari mbona umemsahau Simplicity. ?
Missed you too...
You are always welcome :smile-big:Thank you.
lol we mchokozi!!
Hivi inamaana member wote wanasifanjema tu?
Hakuna majizi?
Au ndo zile za kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa?
mi itabidi nianze kuwacliana na lady doctor ili niprove post yako, then wengne watafuata mpaka wote waishe! haya lady doctor jimwage na communication kwangu, we ndio wa kwanza
Chakachua .... Wote ni wazuri !!
hahahahaaa TONJA mwenzio Simplicity ni mbunifu na wewe toa ubunifu wako tuone
Kuna jukwaa limejaa watu wa hiyo sifa, wanafanya vita dhidi ya wapigania haki, unalifahamu.
Unadhani KUMPM mdada humu Jf ni kazi ndogo, tuma PM yako uone, utakuja kujibiwa mwakani tena kwa jibu fupi la dharau "Whois", ukijieleza kama ukurasa mzima hivi, reply ni 2015 tena jibu lenyewe ni "Makubwa!".
Kutuma PM ni kipaji mkuu, angalia usije ukahama JF au ukaja na uzi wa matusi hapa, sasa kitakachofuata ni nini kama sio ban!
CC: nanjilinji, Elli79, Mwanyasi, na wote mnaotaka kujaribu huu mchezo!
Huyu SIMPLICITY ni mwanamke pia.....nilimkuta akizinguana na AMU kule Celeb
Acha kudanganya watu wewe
Na kama hudanganyi tuambie umejuaje yote haya?
Ndio lipi hilo?
Na umejuaje kama humu hawapo?