Majina ya wanaume na maana zake

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,660
58,999
MAJINA YA WANAUME NA SIFA ZAO KATIKA MAPENZI

1. Dennis-mapenzi ya tamthiliya
2. Nicolas-muongo
3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja
4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda mrefu
5. Joseph/Josephat-Mpole sana
6. Jeryson-anapenda mademu ila wanawake wanamkataa
7. Shadrack-anapenda sifa kwa mademu
8. Richard-ana wapenzi wengi ila msiri
9. Mathew-anapendwa na wanawake ila domo zege
10. Thomas-anapendwa na mademu ila hajatulia
11. Prosper-hajui habari za mapenzi
12. Fidelis-mtaalam wa kutongozea mademu wenzie(kuwadi)
13. Peter-maneno mengi ila vitendo sifuri
14. Christopher-wanapenda kutongoza hovyo ingawaje wana mpenzi mwaminifu
15. Elvis-Handsome ila hapendwi na mademu
16. Edward/Eddy -serious sana kwenye mapenzi
17. Moses/Mussa-mwepesi kutongoza na mwepesi kuwacha
18. Ally/Elly-wasiri sana kwenye mapenzi
19. Mohammed-anapenda watu waliomzidi umri
20. Nickson-wakiingia kwenye mapenzi wanatendwa vibaya
21.Frederick-anapenda sifa kwa wanawake ili apendwe
22. Jimmy-wana mapenzi ya kejeli
23. Elias-anapenda mademu ila anaogopa kuwaambia
24. Frank-huyu mpole, hajui kudanganya, wanawake wanajitongozesha wenyewe
25. Joachim-hana habari na nademu, anaamini ipo siku ataoa tu
26. Benjamin-anapenda achape tu atembee
27. Steven-hana habari kabisa na wanawake ila ana bahati ya kupendwa
28. Gerald-mpole na antulia na mpenzi mmoja kwa mda mrefu
29. Elisha-anapenda wanawake wanaochukiwa katika jamii
30. Benard-akipenda kapenda
31. David-hawa kazi yao ni kuchafua wanawake wa mtaani na jamii inayozungukwa
32. Davis-anapenda sehemu sahihi lakini uacha na kupotea pabaya.
33. Daniel-ana maneno mengi sana na ni muongo
34. Samwel-mpole na ni mnyenyekevu kwa mpenzi wake .
35. William-mstaarabu kwa mpenzi wake na ni mtulivu
36. Gilbert-hatulii nyumbani .
37. Adam/Paul-Mtulivu kwa mpenzi
38. Mbaraka-msaliti
39. Godfrey/Octavian-mlevi na hasikii akishauriwa anapenda michepuko.
40. Emmanuel-anapenda wanawake wa watu
41. Edwin-anapenda wanawake wenye makalio makubwa
42. Bonny-anapenda vibibi na wanawake waliozaa kabla ya ndoa.
43.mmawia-mlaini
 
Back
Top Bottom