Majina ya wana JD yananichekesha sana!

Mie nawatambua Wazinzi wote humu na ndio maana najiita MTAMBUZI................
In short hata wewe nishakutambua..................LOL

Mtambuzi ntake radhi mie kwa hiyo na mimi niko kwenye hilo kundi umekosea sana.
 
Wana jf habari zenyu bana, hebu tujuzane nini maana ya username yako na ilikuwaje ukajiita hivyo,mfano-kiziwi,kongosho,mbumbumbu -maranyingi wana jf huwakosoa kwausername zao mfano kiziwi huambiwa mawazo yake yamefanana na username yake mi huwa nakuwa hoi sana
naomba


mimi username yangu niliipenda sababu wamoyo wangu anapenda sana product za hiyo kampuni
nijuze nijuze tujuzane !!!!!!!!

Sobhuza Mahlaletang Mthlezanyana. Jina langu kamili kabla halijachakachuliwa na ubatizo.
 
Kuna mwenye id ya 'dubu' ananikumbusha mwalimu wangu wa chekechea miaka ya '80, tulikuwa tukimuita hivo japo halikuwa jina lake na sijui ni kwa nini tulimuita hivo.
 
Back
Top Bottom