xir jyerphy
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 994
- 184
haha pole wangu! natakiwa nijilipie kama laki 3 kwa mwaka!
Wao imekaa vizuri hiyo...
Acha tuone mambo yatakuwaje,mtandao ukisoma....
Once again HONGERA Eshy
Last edited by a moderator:
haha pole wangu! natakiwa nijilipie kama laki 3 kwa mwaka!
Utakutana na jedwali kama hili so utajua kama umepata nini na umekosa nini
Ivan best yaan sina hamu hapa hata kula sitamani daah
Kaz ipo...vp ina maana hata boom hatupati
daaaaaaaaah loan allocation funguka thathaaaa aaaagh
mpaka wakati huu kuna yeyote kati yenu amefanikiwa kuona result yake ya mkopo??
unamchecheto eh! usijali itafunguka tu
Hawa jamaa hawaeleweki huyo kijana anasoma public relation and advertsiment kalamba kama 90% plus mazaga mengineView attachment 114080
yeah umekoxa jpange kvngne kuxoma bila loan bhac check S0549/0217/2010 il 2one napo wataxemaje
laiti ungejua mambo hayaendiiiiii hapaaaaa...