Majina ya waliopata ajira wizara ya afya yanatoka lini?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,792
6,768
Habari

Jamani naulizia majina ya waliopata ajira wizara ya afya yanatoka lini maana tuliomba mwezi wa 7 mwishoni mpaka sasa nashamgaa hakuna habari maana kwenye tovuti yao sioni kitu.

Naombeni mwenye kujua basi aniambie zinatoka lini
Screenshot_20190920-111017.jpeg
 
Back
Top Bottom