nashukuru mzima
JF-Expert Member
- Jul 11, 2017
- 1,011
- 1,915
Habari Wakuu.
Hivi Wizara Ya Afya wanatoa Lini Majina?
Hivi Wizara Ya Afya wanatoa Lini Majina?
Tusubiri Tuone ImekaajeHawa nafasi zilikuwa chache halafu waliwahi kutangaza, sijui wanakwama wapi..
Asante kwa taarifaUsijali ila tambua haupo
Umeanza akili za kulia lia kama waalimu.Habari Wakuu.
Hivi Wizara Ya Afya wanatoa Lini Majina!?
Hayo ni Tamisemi, bado Wizara ya AfyaMbona wameyashayatoa? Walitoa pamoja na ya walimu