Mabadiliko ya kumbi za usaili - Dar es salaam

Nov 15, 2022
25
142
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Hassan Kitenge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi katika kada mbalimbali za TRA kuwa, kuna mabadiliko yamefanyika katika mpangilio wa kumbi za usaili kwa wasailiwa wote waliokuwa wamepangiwa Dar es Salaam tarehe 17-18 Desemba 2022.

Hivyo tembelea katika Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma www.ajira.go.tz kuona majina na sehemu uliyo pangiwa.
 
Back
Top Bottom