Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,943
- 236,647
Nenda kwenye tovuti ya chuo kuna namba zinakuwepo pale..mkikosa kabisa nifahamishe ameomba degree programme zipi ili iwe rahsi kupata namba za mawasiliano za college husika...
amefanya makosa kusahau password .pia udom system yao huwa inasumbua
Ninyi hampo serious imepelekea mpaka sasa hakuna chuo mlichopata nafasi,inakuaje form 6 mzima unasahau paswrd
watu wanasema UDOM tyr mbona hayo majina mie sijayaona na pia kwa profile za watu mbona hakuna majibh.
Tunaomba single selection updates
I tried fourth round.....aki kuna kuchokaAkaunti hawaja jibu kitu ata sehem ya apply hakuna respond
Nahis hujaekewa mada mkuu, joining instructions zinasema 29, but kuna taarifa naipata kwa watu kuwa vyuo vyote wanafunz wanatakiwa kuripot tar 27Joining Instruction haujapata? Angalieni na qns zakuuliza
Yani wewe unaamini mambo ya kusikia kuliko joining instructions, ingekuwa hivyo chuo chako wasingetoa Ji, ungesikia tuu watu wanasema, ada ni 1m,Nahis hujaekewa mada mkuu, joining instructions zinasema 29, but kuna taarifa naipata kwa watu kuwa vyuo vyote wanafunz wanatakiwa kuripot tar 27
Hapo nimekupata mkuuYani wewe unaamini mambo ya kusikia kuliko joining instructions, ingekuwa hivyo chuo chako wasingetoa Ji, ungesikia tuu watu wanasema, ada ni 1m,