Mangi wa Rombo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 190
- 126
Habari!
Takribani week 2 zilizopita, Shirika la madaktari wasio na mipaka (Medicins Sans Frontieres) ambalo linajihusisha na huduma za afya kwenye kambi za wakimbizi walitangaza nafasi za kazi kwa kada za afya ikiwemo Medical Doctor, Nurse, Nurse Aid, midwife, Midwife Ass etc,
kama uliomba nafasi hizo basi tayari wameshatoa majina ya waombaji wanotakiwa kufika kwenye mtihani wa kuandika (Written test) ambayo itafanyika ukumbi wa ALLIANCE FRANCAISE, Ali Hassan Mwinyi Rd, in Las Vegas Casino Compund, Opposite Gymkhana Dar Es Salaam.
Kwa kuangalia majina na muda wako pangwa tafadhali fuata link hii https://cloud.msf.org/index.php/s/BqKrCugkfvkZKFh Na kama utaona jina la unaye mfahamu tafadhali mjulishe!