Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,184
kichechemakunduchi
mfereji maringo
mwembe mimba
mwembe ladu
kilima nyege
kwa haji tumbo
gulioni
kiembe samaki
ngazi mia
baraste kipande
bwe leo
kizimkazi
paa je
bungi
pete
Wakuu now nipo pemba, hivyo nitawaulizia maana ya hayo majina na mengine nitakafika unguja. Musihofu. Ila nina swali moja juu ya kisiwa hichi cha Fundo. Eti ukikalia Fundo, Raha unaionea wapi?
Dole ,bububu, kibanda maiti, betras, msikiti makufuli, mwembe basha,
Hahahaaaaaaa, nyie wachokozeni tu, wataandamana sasa ivi!! wana visa na visirani sijapataona! watatishia kuvunja ze muungano
wavunje tu kwani wana nini sa hizi??Eti Tanganyika nayo ina koloni,makubwa haya
Hizi ni jokes na naujua unaelewa maana yake!:embarassed2: majina ya vitongoji vya Unguja, hayatusaidii chochote!!!!!
Leteni mada( topic ) zenye maana jamani.
Okuberwa