katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Leo ni weekend tujikumbushie majina ya utotoni ambayo ulipewa au ulikatia ya utani.
Mimi zamani nilikuwa naita kipepe.
😂😂😂
Mimi zamani nilikuwa naita kipepe.
😂😂😂
Haya bhanaNikitaja langu kuna watu watanigundua humu... manake nilikuwa silipendi harafu jina la utani ambalo unaemilikishwa kama hulipendi linavuma hadi sio poa!!
Walikuwa wananiita Madenge....
Sababu kubwa ni kwa sababu nilikuwa zero brain toka utotoni.
Mawazo yangu huwa yanaenda Opposite na jamii inayonizunguka.
Mfano kuna watu wanasema moja ongeza moja ni mbili au ni 11.
Lakini mimi nakataa nasema 1+1=3 au 4 kwa kuwa ukichukua mwanamke mmoja na mwanaume mmoja wakakaa kwa mwaka mmoja wakigegedana wanaweza kupata mtoto mmoja au mapacha wakawa jumla watatu au wanne au hata watano.
He he he heI d yako nyingine nshaijua
We jamaa una mikwara sana
Ya kiume mkuuHe he he he
Umeijua ipi hiyo
Ya kike au ya kiume??