Majina Ya utani ya Utotoni

Kuna mshikaji wetu mmoja alikuwa anakuja na mkate shulen tukamtungia jina sunkist. Sunkisti ilikuwa mikate mitam sana pale arusha
 
1.mimavi 2.vunja miba 3. Ngiri maji 4. Ubao 5. Kufakufa . Yani enzi hizo noma!
 
Pinda utotoni alikuwa akiitwa 'mikunjo chaubaya'. Ni mashuhuri sana kwa hilo kule home.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…