We nae mpuuzi tu, kwanini ang'ang'anie jina la ukoo wa watu!!
Jina la ukoo linamilikiwa na wanaukoo kulingana na wajina wako (mtangulizi) ndani ya ukoo wenu.
Kama ukivuliwa uanaukoo basi huna uunganiko (tie) wowote na ukoo husika.
Your premise is totally a fallacy!
Kabila gani ambalo hakuna umiliki wa jina la ukoo kuna umuhimu gani kuwa kiongozi wa ukoo.Nimeona clip moja ya Gwajima eti anamwita baba yake miaka 87 na kumlaghai aseme kwamba ana mwamrisha mkwe wake asitumie jina lao. Hakuna mtu binafsi ambaye anamiliki jina na koo yoote . Haya majina ya koo yalikuwepo miaka mingi sana na wengi hata hawajui yametokea wapi. Hakuna mtu ambaye ni ana uwezo wa kuamua nani na yupi atumie jina la koo. Hizi ni drama za kitoto za Gwajima. Huyu kaka yake Gwajima hakuchaguliwa kuwa Gwajima ni haki yake ya kuzaliwa
Mbasha ni Baada ya kuachana. Huyo Dorothy ndoa ipo haiMbasha pia alimpiga stop Frola kujiita/kuitwa Frola Mbasha
Nimeona clip moja ya Gwajima eti anamwita baba yake miaka 87 na kumlaghai aseme kwamba ana mwamrisha mkwe wake asitumie jina lao.
Hakuna mtu binafsi ambaye anamiliki jina na koo yoote .
Haya majina ya koo yalikuwepo miaka mingi sana na wengi hata hawajui yametokea wapi. Hakuna mtu ambaye ni ana uwezo wa kuamua nani na yupi atumie jina la koo.
Hizi ni drama za kitoto za Gwajima. Huyu kaka yake Gwajima hakuchaguliwa kuwa Gwajima ni haki yake ya kuzaliwa
Ukisikia KUJIPENDEKEZA KUBAYA ndo huko mkuuKwanza kwanini watu wasitumie majina ya baba zao waliowazaa