Makavu live mkuu, unafanyia mahakamani nn [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama umepata bundle la kuingia jf maana yake una bundle pia la kuingia kwenye website ya chuo huska na majina unayakuta wazi kabisa kama yapo na kama hayapo basi hutayakuta mpaka hapo watakapoyaweka. I wish I could be moderator,huu Uzi nungekuwa nimeufuta mapema asubuhi.
Huyu jamaa anataka sisi tuingie kwenye website ya chuo huska tukatafuye hayo majina then tuyaweke hapa. Huo Mimi nauiya ni ujinga na kushindwa kujishughulisha. Unatakiwa ujishughulishe kwanza then uki fail unaweza kuomba msaada. Kama unashindwa hata kutafuta taarifa unataka sisi tuanze kukutafutia taarifa?.Makavu live mkuu, unafanyia mahakamani nn [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Intake ya April ishapita... Na wote waliokachaguliwa walitaarifiwa kwenye profile zao...Sasa mkuu leo hii tar 6 july unaulizia kuhusu intake ya April kulikoni....?Naomba mnisaidie kuyapata majina ya waliochaguliwa kujiunga katika ngazi ya Diploma March/April 2017.