Majina ya second selection yanapangiwa shule lini?

Majina ya second selection yanapangiwa shule lini?

kulwa james

Member
Joined
Jul 22, 2017
Posts
11
Reaction score
3
Wakubwa nilkuwa naomba kwa anayefahamu lini form five second selection anisaidie kwa maana walitoa majina tu ya ambao watachaguliwa lakin shule hazijapangwa,

So nilikuwa naomba kufaham n lin ztatoka ili wengine tusome ata tution huku tunasubiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa sijui tufanyaje yaaan kwan tumesugua sana hadi nataman niende chuo tu kwan hata combination zilikubar sijui kwann wakanitema chemistry C biology C na geography C physics D na English C kiswahili C civics C history D na math F hivi wakuu hapa afya hata certificate sipati ilinifute kabxaa wazo la second selection
 
Amna naskia znatoka mwez wa8 ila kama jina lako limo kweny second selection maan majna yalishatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman kwa anaefahamu second selection mwaka huu zinatoka muda gan na je kwa walio orodheshwa kwenye orodha ya wanafunzi watakao chaguliwa awam ya pili na tamisemi wote tutapangiwa shule?

Na ni muda gan kwenu wana jukwaa naomba usaidizi ili nifaham maan me nashindwa kuelewa
Nawasilisha ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna anaejua wanatoa lin ila n vyema kujfrj kama hvyo unavyo sema wanatoa mwz huu kikubwa tujiandae tu kama umesha ona jina lako kwnye lst anza kjiandaa mdogo mdogo ukwaza sana mwsh utakata tamaa n mawazo yangu wakuu
 
Back
Top Bottom