Majina ya radio za Dini Mbeya

harakati za siri

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
939
2,558
Wapendwa wana JamiiForums,

Naomba kujulishwa radio za ki Kristo zilizoko Mbeya, ni ngapi? Na majina yake tafadhali.
 
Usisahau kutupa kazi ya kutangaza taarifa ya habari za mambo mbalimbali ya dini mkuu 😬!
 
Ushindi fm
Baraka fm
Hrm kama sijakosea(radio ya nabii mpanji-99.3)
Rock fm na moja nimeisahau.
Nyongeza za radio za mbeya mjini ambamo mahubiri husikika mara kadhaa
Bomba fm
Generation fm
Mbeya fm
Must fm
Highland fm
Big star fm...n.k
Ukienda wasalimie Sana.
 
Sikiliza Highlands FM 92.5 MHz, redio yenye kusikika kwa radius ya kilometa 200 mzunguko.
 
Ushindi fm
Baraka fm
Hrm kama sijakosea(radio ya nabii mpanji-99.3)
Rock fm na moja nimeisahau.
Nyongeza za radio za mbeya mjini ambamo mahubiri husikika mara kadhaa
Bomba fm
Generation fm
Mbeya fm
Must fm
Highland fm
Big star fm...n.k
Usimpotoshe Mkuu Redio za dini Mbeya ni Tano tu

Bomba Fm Ni Commercial
Must Fm Ni Commercial
Big Star Fm Ni Commercial
Mbeya Fm Ni Commercial
Generation Fm Hii Ilishafutwa Haipo
Rock Fm Ni Commercial Pia Japo Imechukuliwa Na Wasabato Siku Za Hivi Karibuni
....

Redio Za Dini Mbeya Ni Tano Tu Ambazo Ni
1/ Ushindi Fm Stereo Iliyopo Isyesye Mbeya
2.Baraka Fm Iliyopo Kadege
3. Adonai Fm Iliyopo Uyole Uwamu Saccoss Building
4. Gmcl Iliyopo Ilomba Ya Nabii Mpanji na mwisho ni
5. Rungwe FM iliyopo Tukuyu Mjini

Hizo Ulizotaja Huwa Na Vipindi Vya Dini Jumapili Tu...Ila Za Dini Ni Hizo Tano Tu labda uongeze na za kitaifa au zenye leseni ya mikoani ambazo ni

Redio Maria Imaan na Morning Star FM
 
Usimpotoshe Mkuu Redio za dini Mbeya ni Tano tu

Bomba Fm Ni Commercial
Must Fm Ni Commercial
Big Star Fm Ni Commercial
Mbeya Fm Ni Commercial
Generation Fm Hii Ilishafutwa Haipo
Rock Fm Ni Commercial Pia Japo Imechukuliwa Na Wasabato Siku Za Hivi Karibuni
....

Redio Za Dini Mbeya Ni Tano Tu Ambazo Ni
1/ Ushindi Fm Stereo Iliyopo Isyesye Mbeya
2.Baraka Fm Iliyopo Kadege
3. Adonai Fm Iliyopo Uyole Uwamu Saccoss Building
4. Gmcl Iliyopo Ilomba Ya Nabii Mpanji na mwisho ni
5. Rungwe FM iliyopo Tukuyu Mjini

Hizo Ulizotaja Huwa Na Vipindi Vya Dini Jumapili Tu...Ila Za Dini Ni Hizo Nne Tu
Ubarikiwe sana,😄😄ndicho mtoa mada alikuwa anahitaji,umemaliza mkuu.
Mada imefungwa.
 
Back
Top Bottom