Majina ya Miji ya Marekani hapa Bongo.

Majina ya Miji ya Marekani hapa Bongo.

Jimjuls

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
486
Reaction score
168
Hapa Bongo kuna majina ya miji ya marekani inatumika kama mitaa duhh.Huku kwetu Arusha tuna Texas,Florida....em wewe tupia ya mtaani kwenu hapa chini....
 
Je ni ufahal gan unaopata kujiita jina la mwenzio? inamana majina ya kwenu yameisha?tyson,obama,bush,clinton
 
Nimewahi kwenda kupata huduma pale ohio street karibu na ppf tower
 
Back
Top Bottom