Salaam ndugu na jamaa zangu,
Ninayo furaha kuwajulisha kuwa nimepata watoto mapacha leo wa kike na wakiume.
Naombeni ushauri majina gani niwape yenye maana yanayoanzia na M.
hongera.... moreen na morice!!!
Yaani ulikuwa kichwani mwangu maana nilivyosoma ni msichana na mvulana nikamention haya majina
aiseeee
masai dada & Masai kaka.
miss chagga & Mr. chagga.
miss gisenyi & Mr. gisenyi
Moderator & moderatres
na kweli aiseeeKatuchoka huyu
na kweli aiseee
Manka na Mangi
Hongera sana kwa kupata watoto mungu akukuzie
moreen na morice mazuri
Yaani majina yaliyowalea hamuyataki?
Kuna Mwanahamisi, Mwanaasha, Mwanayumba, Mwanaukome, Mwambulukutu, Mwazinja nk
Hahahaaahh.....yapo hayo.
Bagamoyoooooooo