utakufa kabla ya wakati wako kwa msongo wa mawazo, relax ndugu usicomplicate maisha kiasi hicho, afu sio lazima usome na kucoment kila sred, heading yenyewe ilishakuonyesha ni ya ukabila ulisomea nini?
mie sio msukuma lkn najifunza mengi kupitia hii sred na nyingine za makibila mengine.