Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
Ngulungulu
Mwilapwa
Ntundu
Shitalati
Bagenyi.
Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....
Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........
Milembe
Nyabusu
Nyanzula
Tabu
Ng'wipagi
Balekele
Hayo niliyoweka kwenye nyekundu hutumika hata kwa wanaume pia.
JF higolya higolya higolya du higolya zigizigijamani hapa tunadanganyana sasa...wasukuma wako wa aina nyingi jamani..ila kuna common names kama Minza,nkwaya,nkwimba,Ngwalu,Hollo nk ambayo mengi yapo huko Ntuzu,kuna Wadakama,Wanyamweli wote hao ni wasukuma na uzungumzaji wao uko some how tofauti..mfano mnyamweli na mnyantuzu wanawiana sana than Mdakama na the twos inakuwa vigumu kumwelewa wakati mwingine na haya majina sitoshangaa ni ya kisukuma lkn ainisha ya pande zipi mkuu...mchango tu
mungule
nyamizi
kwangu
............
hilo sidhani mbona la kiswahili mkuu?
Kwenye lugha nyingi kuna baadhi ya majina ni unisex kwa mfano Tracy na Stacy
Dada Bahati hilo jina linaonekana kama la kiswahili ila lipo kwa sana tu huko usukumani.
shemeji yangu alikuwa vekesheni nani kasema alifungwa??Mami mhola hene? Naona umetoka kifungoni, karibu sana.
shemeji yangu alikuwa vekesheni nani kasema alifungwa??
Niliona nembo ya "Banned" kwenye ID yake hivi karibuni. Nikajua amefungiwa kwa muda.
Nyambizi, Nyanjige