Majina ya kike ya Kisukuma

Nyanso, Kapemba, Kalunde, Misayo, Kutogwa, Chellu, Mwilwa, Mkola, Mazila na Mwasi.

Ehh, akina Fundikira wanatunza sana majina ya Kilugha. Safi sana

Humu ndani tuna Kichuguu (Kibubunswa) Samahani nilifikiri majina yote...............
Mkuu Haya nadhani ni yakinyamwezi
 
Hayo ni ya Wadakama. Wanyamwezi ni wote yaani Wa-Sukuma na Wa-Dakama. I hope unaelewa maana ya Sukuma na Dakama.
Shija= Sizya. Muhoja =Muhozya. Kutogwa=Butogwa nk.

Haya πŸ‘†πŸ‘†ni ya kinyamwezi, nimeona jina langu hapo nililopewa na babu πŸ˜‚ 🀭

Hayo ni ya Wadakama. Wanyamwezi ni wote yaani Wa-Sukuma na Wa-Dakama. I hope unaelewa maana ya Sukuma na Dakama.
Shija= Sizya. Muhoja =Muhozya. Kutogwa=Butogwa nk.
Mimi naomba unieleweshe maana ya sukuma na dakama.
 
Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....

Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........
Mahondola
 
Mtawanyiko wa kabila hili kubwa unaendana na pande kuu nne za dunia
1:Sukuma = Kaskazini
2: Kia =Kusini
3: Dakama= Mashariki
4: Ngweli = Magharibi
NB:Bhanangw'eli ndo hao Wanyamwezi
 
Jamaa wamechangia hapo juu.
Pande nneza Dunia ni :
Kiya - Mashariki
Mweli - Magharibi
Dakama - Kusini
Sukuma - Kaskazini

Mikoa ya Wanyamwezi na Wasukuma ni Mwanza/Geita, Shinyanga na Tabora.
  • Ukiwa Tabora, Wanyamwezi wa Mwanza tunawaita WaKaskazini au WaSukuma
  • Ukiwa Mwanza, Wanyamwezi wa kusini tunaitwa WaKusini au WaDakama.

Yawezekana Shinyanga ndiyo Wanyamwezi haswa maana wapo katikati πŸ˜€πŸ˜€
Mimi naomba unieleweshe maana ya sukuma na dakama.
 
Mtawanyiko wa kabila hili kubwa unaendana na pande kuu nne za dunia
1:Sukuma = Kaskazini
2: Kia =Kusini
3: Dakama= Mashariki
4: Ngweli = Magharibi
NB:Bhanangw'eli ndo hao Wanyamwezi
WaDakama ndiyo Wanyamwezi wa Tabora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…