Mhmmmm najua huyo ng'wifa wangu atakuwa chuma kama alivyo mama yake...mguu kaa chupa ya bia....aaaah acha tu. Nkwingwa kweli kapata mwanamke hapa.
Kila Kabula ninayemjua ni chuma. Kila Kalunde ninayemjua ni moto wa kuotea mbali. Na kila Sundi niliyekwishawahi kukutana naye took my breath away. Mimi nadhani mrushe shilingi....ikiangukia kwenye kichwa basi jina liwe Kabula...ikiangukia kwenya mkia basi jina liwe Kalunde...na ikisimama bila kuangukia upande wowote basi mwende na Sundi....unaonaje hapo shem?
mhmmmm najua huyo ng'wifa wangu atakuwa chuma kama alivyo mama yake...mguu kaa chupa ya bia....aaaah acha tu. Nkwingwa kweli kapata mwanamke hapa.
Kila kabula ninayemjua ni chuma. Kila kalunde ninayemjua ni moto wa kuotea mbali. Na kila sundi niliyekwishawahi kukutana naye took my breath away. Mimi nadhani mrushe shilingi....ikiangukia kwenye kichwa basi jina liwe kabula...ikiangukia kwenya mkia basi jina liwe kalunde...na ikisimama bila kuangukia upande wowote basi mwende na sundi....unaonaje hapo shem?