Majina ya Kihaya ya kike



mimi ninamshukuru saana Gekai maana inaonesha ni jinsi gani amekuwa mwelewa, asante saana naseama tena asante saana. Mtu km anahitaji kitu nafikili asaidiwe sio tuanze kuulizana maswali hapa km tunataka kutambika, yeye anataka majina ya ya Kihaya inawezekana akawa muhaya lakini kazaliwa mjini na anataka wanaye wawe na identity ya nyumbani kwa hiyo maadamu havunji sheria za hapa JF sion km ni kosa
 

Duh! hiki ni kizungu au!!! kaka si ungeandika kiswahili tu, unajifanya mjuaji bure, wazungu wakisoma hii watakutukana twice as much ya matusi, kwa kuipaka matope lugha yao, sio lazima kuchangia kila kitu sometimes unaweza kusoma na kutafakari kimyakimya badala ya kuonesha uwezo wako duni hadharani.
 
asante kuuliza mengine nimeyapata humu sikuwahi yasikia, nkijaliwa ntachagua moja, haya kuna Namala,Kokusima, kokuabwa, atugonza, ajuna, alituijuna, Kemilembe, shubila, keitesi, kalikwenda, mengine nkikumbumbuka hayo yetu kwetu.
 
Kokusima,kokubelwa,kiangonzi,kokushubilwa,Tumsime!!
 

Duh huoni aibu kuanika ubw-ege wako Domisianus?

kutojua kingereza sio upambafu ila kutojua na kutojua kama hujui aisee huu ni upambaf wa hali ya juu
 
Kokunyegeza, kokushubira, kemilembe, kokubanza, kokusima........
 
Owokujumangana, Owokujumwamagezi, Kalungi, Owokulebwa, Kiniga, Kekiniga, Keibuba, Kamagezi, Kagole.:lol:
 
magina mengine yapo bandugu??
Nimependa haya: Shubila, Sima, Karungi, Kekisha.......
 
Majina ya koku, koku nimeachoka, kila mtoto wa kike ni koku....i think its high time we changed...don't you think so??

Hujui maana ya majina haya, waachie wenyewe na majina yao, kama huyataki hama kabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…