Majina ya Kihaya ya kike

Wewe ndo bwe-ge kwa nini uanzishe thread ya kujadili majina ya watu huna lingine la kujadili?

Hapana mkuu....Hukumtendea haki.........Kwa jinsi nilivomuelewa japo kwa uchache ni kama kapata binti(mtoto wa kike0 na anategemea kumpatia jina lenye asili ya kihaya(lisilo anza na Koku0 so kaja hapa kuwaomba wadau(ukiwemo wewe mumsaidie kumchagulia jina kwa ajili ya binti yake huyo..........................Soma katikati ya msitari utamuelewa
 
Basi baba, Si uchukue ya kwetu ya uchagani mzee. Maana naona Wahaya wameishiwa, wanatohoa ya kinyaruanda na kuyaita yao.
Chukua haya mwayego

  1. Matemba
  2. Haika
  3. Mkekuu
  4. Mamtalo
  5. Mkapata
You see how nice it is...? Njoo huku bwana achana na ya huko, tena nahisi mengine hayatapata hati za uraia maana ni full utata.
Tehe te hete tee heeete ....!
 
yapo kibao:
ya kike:

kokubonza
kokushubira
kokunoga
kokubanza
kokutema
placidia
plaxeda
kokuobama nk nk

hata ya kiume yapo

lwokuobama
rweyoongeza
lwegobama
lwegoshora
tuluchengwa nk nknk
 
Kwa kauli zenu mnazotoleana kati yenu wewe MAGEZI na GHOST mshindwe katika jina la YESU aliyehai
 
Wewe ndo bwe-ge kwa nini uanzishe thread ya kujadili majina ya watu huna lingine la kujadili?

This is absolutely ludicrous, how comes to a person like you probably erudite asking the names of the women from Haya tribe, for what and why?

Sometimes if you have nothing to thread in this blog of the Greater Thinker you better keep quite. I’m not a Haya but this kind of retort is totally deplorable brother, worse enough you start insulting other, logically who is doing brah things, you or TMK

Just think greater and pose the threads which make us to move a steep forward socially, ecomically and politically, so after know their names what next??
 
Kama huna kazi kakojoe ulale majinayetu unayataka ya nini??

Hivi kumbe majina yenu haya??

kwa jinsi zote (ME & KE) mnatumia majina sawa?? Jamaa ameomba MAJINA YA KIHAYA YA "KIKE"..

Pengine "KIHAYA" ni neno tata, yaweza isimaanishe "huko kwenu".
 
Mengine ni:
Kokusima, Kokuhaisiliza, Kokushekya, Mukabatunzi, Mukamungu, Mukabinego, Mukarugaba, Kekisha, Kisha, Owekisha, Atulokole, Ahimbisibwe, Tulinawe, Amwesiga
 
Ghost
majina mengine ni:-
1. Sima [shukurani]
2. Shubira [tegemea]
3. Kishakyamukama[huruma ya mungu]
 
Majina mengine ni: Kokunula, Kanshemeleza, Kankiza, kokunyumiliza, Kalikwera, Karungi, Mukarugonzibwa, Kagemulo.
 
Ghost
majina mengine ni:-
1. Sima [shukurani]
2. Shubira [tegemea]
3. Kishakyamukama[huruma ya mungu]

Yaah abunuwasi nimependa majina haya mimi nina binti anaitwa kemilembe sasa nadhani atakayefuata itabidi awe kishakyamukama yaani jina hili zuri sana nimefurahi sana. Nikipata wakiume nitakutafuta unipe ya kiume....kweli hazina yako ya majina inatoa majina mazuri
Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom