Majina ya Kibantu maana zake... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina ya Kibantu maana zake...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kizimkazimkuu, Jun 22, 2011.

 1. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Mimi ni mpenzi mkubwa wa lugha mbalimbali za kibantu. Zaidi navutiwa na matamshi ya maneno; mfano lafudhi za wahehe na wabena wa iringa, wakurya na wajaluo, wachagga, wahaya na wasukuma. Majina ya makabila mengi huwa yanabeba maana kubwa sana, hebu kwa wanofahamu tuweke hapa majina mbalimbali na maana zake. Nimeanza hapo chini na mikoa yanapotokea kwenye mabano;
  1. Manumbu (Mara)- Viazi
  2. Mkunde/ Kunda (Kilimanjaro)- Mpendwa/mpenzi
  3. Mushaija (Kagera) - Mvulana
  4. Nyanda (Mwanza)- mvulana
  5. Bhoke (Mara) - Asali
  haya hapa chini nitafurahi sana kujua maana zake
  1. Kapufila (Rukwa) ? ---------
  2. Mkatomboka ? ------------
  3. Ntogwisangu (Mwanza) ? -----------
  4. Ngundilira (Mbeya) ? ------------
   
 2. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  5.Nkundukuwaka(Mtwara)?.......
   
Loading...