Nikaona ngoja nirudi timu yangu pendwa nikaangalia jina lenye mvuto kwenye mpira nikakuta Mesut Ozil ndio lenye mvuto nikachukua
MO kisha nikaongezea namba anayovaa mgongoni 11
Nikaona ni jina ni fupi na rahisi kutambulika lipo kipekee herufi mbili na namba mbili
nikasema hili ni jina nitakalo tumia kila niingiapo nikala na kiapo cha sitofungua id nyingine zaidi ya
MO11
Nimependa ubunifu.
Ni sheedaa
hili jina nilipewa humu humu jf miaka miwili iliyopita
smtms vituko vyako vina fanana na yule kijana wa miaka 25 alietahiriwa juzi Gogle unaukoo nae?
smtms vituko vyako vina fanana na yule kijana wa miaka 25 alietahiriwa juzi Gogle unaukoo nae?
Hivi tinna cute huyu mtahiriwa wa ukubwani Gogle yupo...?