damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,464
Ni jina zuri sana hata kulitamka
Kwanza nilikuwa natafuta jina la kutumia nikaandika jina langu halisi ile kuconfirm tayari lina mtumiaji nikasema shit nikataka niandike jina la ukoo wetu nikaona jina la ukoo wetu + location nitajulikana moja kwa moja kwa sababu ukoo wetu ni mdogo hii inapelekea kujuana wote tunapokaa nikajalibu jina lingine
mumeoumpakuliaye likakataa eti ni tusi limezuiwa
itaendelea.......

Waitng.......
Nikaona ngoja nirudi timu yangu pendwa nikaangalia jina lenye mvuto kwenye mpira nikakuta Mesut Ozil ndio lenye mvuto nikachukua
MO kisha nikaongezea namba anayovaa mgongoni 11
Nikaona ni jina ni fupi na rahisi kutambulika lipo kipekee herufi mbili na namba mbili
nikasema hili ni jina nitakalo tumia kila niingiapo nikala na kiapo cha sitofungua id nyingine zaidi ya
MO11
Kumbe wewe Mo11 ni shabki wa asernal

nahangaika kujua avatar yako ina maana gani
Haters gonna hate!
Naipenda hiyo msg. Baaas hakuna lingine ndugu yangu
me jina lako tu limenishngaza kwann usingejiita #mamaa_jf
Maamuzi tu nalipenda sana jina.langu mamaafacebook jina limesimama hilo