majina ya bar/pub

majina ya bar/pub

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,103
Reaction score
828,987
lete majina ya bar au pub yachekeshayo
njia ya tandale kuna shikamoo bar imepakana na marahaba bar , mburahati kuna simba kapakatwa pub! lete
 
Nyata nyata pub iko karibu na Mwanjelwa Mbeya.

Near by Majengo Mbeya.
 
KWA DC BAR iko Mianzini Arusha,huduma zote zipo ukianzia banana,mbege,gongo,kimorali,k'njaro white wine,cha R Chuga.....
 
Kona Bar-ipo kila wilaya ya tanzania niliyowahi kutembelea
 
Back
Top Bottom