Majina ya Asili ya Kabila la wachaga

Chaki
Mchaki
Masam
Kimambo
Kinabo
Matarimo
Mambosho
Makirembe
Matowo
Masuki
 
Actually it is a very good concept kutumia neno EL kabla au baada ya jina la kikabila. Ingawa majina ya namna hiyo yanaweza kuku identify kirahisi na yanatumiwa na watu wengi. Hii ni kwasababu EL is a Hebrew word meaning God. So kutumia original Hebrew word for God kwenye jina ni jambo jema. Kwa mfano Elikunda. Kunaweza pia kuwa na jina la Aikayahu. Of course hili la Aikayahu sijawahi kusikia mtu anaeitwa hivyo. Maana yake ni asante YAHWEH. Watu wanaoitwa majina ya namna hiyo ni vizuri wawe na maadili mazuri.
 
Je hili Mkuu eliluiham?
 
utouh
uronu
msaki
silayo
shirima
kwayi
kwayu
kweka
mmasy
mmari
lyakurwa
kinyaiya
komu
urassa
merinyo
samanya
kimaro
kisaka
mremi
shio
Shayo
masae
msenga
urio
erio
lyimo
macha
mbowe
swai
mtei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom