Majina tunayopewa mara nyingi hutadhiri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majina tunayopewa mara nyingi hutadhiri.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, Mar 23, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF

  Nimetafakari kwa undani msemo unaosemwa na wengi kuwa tuwe makini na majini tunayowapa au kupewa na wazazi wetu kwani huwa yana madhara fulani.
  Mfano Jina Tabu-muhusika huwa ni mtu wa tabu tupu
  Shida-Huwa na shida nyingi sana
  Matatizo- huwa na matatizo
  Lipumba-Hutoa pumba nyingi mfano Prof Lipumba na
  hotuba zake za kuiponda CDM badala ya CCM
   
Loading...