Vifo hivi viwakumbushe wanajeshi wetu kwamba watanzania wote ni ndugu na kwamba sote ni mavumbi na mavumbini ni lazima tutarudi. Mateso wanayoyafanya wanajeshi kwa raia wa Mtwara ni ya kinyama!!! Si ya kiutu hata kidogo!!! Ni bahati mbaya kwamba jeshi letu linatumiwa vibaya na wanasiasa!!! Mungu aturehemu sote na roho za wanajeshi hawa zipumzike kwa amani!!
Upumbavu gani alioandika? Hujawahi pelekwa kambini wewe ukaonaHayo maneno uliyoandika hapo chini ni upumbavu na kukosa akili kuliko pitiliza.
Rest in peace askari wetu. Mmekufa kishujaa
I will just wait for you at the right place and I will hit you!
Pumba gani hizi, watu wamekufa vitani halafu unaleta siasa zako za mtwara
Nasikitika nahao waislam mauti yamewakuta katika mwezi mtukufu Wa ramadhani walitakiwa wafanye ibada
Kuna ushahidi gani uliotumika kueleza jinsi walivyoshambuliwa..? au kuna walionusurika kufa...?
R.I.P our beloved Tanzanians.
Hivi mkuu wameifia Tanzania
ama Sudan?Naomba kueleweshwa kwenye hili.Kuuliza si ujinga mkuu
wangu.