blackgold engineer
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Katika tafiti zangu nimegundua asilimia kubwa ya uzuri wa mwanamke unaendana na jina alilopewa utotoni,,kifupi sijawahi kuona nancy mbaya,,au irene mbaya,,au michel mbaya,,au sabrina mbaya,,au nasra mbaya,,au zufra mbaya,ila kuna majina nisameheni huwezi mtu kumuuita mwanahamisi au sikujua halafu umkute mzuri,,ushauri kwenu wazazi wachagulieni watoto wenu majina mazuri maana ndio yanashape urembo wa sura zao..