Majina na Tabia zake

Na majina kama
JAMES
ERICK
GERARD
ROBERT
GEORGE HUWA INAKUAJE?

1.Erick wapo social sana, na mwanangu huwa tunamtaniaga mr.hospitality maana amebakisha kusalimia wanyama na wadudu tu. Hamwezi mkatembea hatua kadhaa hajasalimia mtu! Wengi wapo social.

2.James wapo very understanding,especially in terms of support au ushauri wa kujenga,wana akili za maisha sana wapo serious sana na mambo yao.

3.Gerard wanajiskia sana hasa kwao wakiwa mambo safi ndio full kogo yani, madem wanakomaga!

4.Robert wana pigo za kishamba sana,wajuaji

5.George huwa watulivu sana na wataratibu, wanajua kucope na watu wa aina zote na wengi wana ubinadamu sana,wana akili za darasani pia.
 
kuna wa2 wenye mjina ya IRENE ukwel weng wao wanakuwa wazur ila wajinga ile mbaya cjui inakuwaje hapa
Kama sio wajinga tu, pia wengi huwa ni victims wa kudanganywa kitoto na wanaume matokeo yake huachwa solemba mfano kuna mmoja mwanangu alimchanyata af alipomchoka akanipasia na mimi sema nilipotezea nkaona uboya!
 
hawa huwa hawadumu kwenye ndoa na ni wajeuri sanaaaaaa

Mkuu,
Sio kwamba hawadumu kwenye ndoa bali hawaoleki kabisaa. Utastukia tu, alikuwa kaolewa jana, asubuhi kisharudi kwao na tiyari anatafuta mwingine wa kumuoa hata kabla ya talaka. Simpi mtoto jina hili ni balaa
 
Vipi na majina ya kina jackson,christian,sharon na winnie
1.Jackson waongeaji sana na wajanja wa kutafuta, iwe pesa au papuchi

2.Winnie huwa ni vicheche wa downlow,ukiingia kichwa kichwa unaeza ona umepata kumbe raia wanakuchora tu!
Wengi wanjitiaga walokole kumbe amna kitu..
 
hahahahahahahahah, mi ninae hellen mpole huyo sa sijajua wanaovizia sukari yangu anadili nao vipi, huenda ukawa moja ya wahanga! Asante kwa feedback aisee hahahahahahahaha
Hahahaaaaa yan acha kanansumbua kweli kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom