Majina, misemo na maneno kwenye khanga

YNNAH naona we umekuja na kitu ya ubarikio...hahahaaaaa
Mwanaume umbea kusutwa inakaribia kuwa suna lol

Erickb52 kanga yangu ndio imeandikwa hivyo.
Nyingine imeandikwa Mungu atosha,nyingine Mpaji ni mungu na mfano wa hizo
 
Last edited by a moderator:
181152_329394093802591_791248072_n.jpg



599263_329399587135375_1073526120_n.jpg
 
ajabu nazi kavu kuvunja jiwe
jeraha limo moyoni
tufurahie harusi yetu
pokea zawadi ya iddi
heri ya x-max
babu jinga inama ufikir
yote ni mapenzi ya mungu
ulikuwa hujui?
Mungu n mwema
 
-Mzee Mtambuzi inama ufikiri.....
-Kenda karibu na kumi
-Nani kama mama
-Wivu sina lakini roho inauma
-Mkataa pema pabaya panamuita
-Ukitaka cha vunguni sharti uiname

NK
 
kizazi hakizai haramu hadi kiharamishwe
-Kila mla kuku wa mwenzie miguu humwelekea
-Ukitaka kula lazime na wewe uliwe japo kidogo
-Mkataa pema pabaya panamuita
-Amekushinda chaza utaweza kumla pweza
-Ulikataa godoro sasa unalalia kirago.......
 
Bujibuji ....... we si umefiwa wewe................!
Au Nazjazi alikuwa anakupaisha hapa JF usiku huu..............

chezea bujibuji weye. anamsomesha msichana kwa mistali yenye akili. channel 5 unaijua?..naijua! ile nayo ni yetu na seki ni mfanyakazi wetu kwenye ile tv yetu. hahahaaa. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom