Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Naendelea...!!
Utamaliza visigino kwa safari za umbea.

Aruuuuu.

Hausimiki,hausimami.

Tondola nidambe,dambila humohumo.
 
yani wish angejua navozitamani lakini ye kakomaa na gold ooh silver... Ndo mana 2naenda kuzitaftia nje.!!! Am sure sir B anafaidi sana..
Junior. Cux, kizuri kula na wenzio e....!!!
Nawe njoo ule...!!
Sahau itikadi zetu.
 
Last edited by a moderator:
Shika adabu yako, hakuna mume wa peke yako! Kibuzi changu kidogodogo nakichunia kwenye mihogo!
 
ubarikiwe kwa roho yko nzuri, hii wekend itabid tutaftane nivionje hvyo vizuri.!!! wakaa mtaa gani vile..
Junior. Cux nsikilize nikuelekeze.
Ukishashuka kituoni kata kona ya kwanza kushoto,utauona mpera una mapera mengi,ukifika hapo tembea hatua 4 utakuta watoto wanacheza mdako,wapite hao watoto,kata kushoto utakutana na kichuguu kikubwa kimeinama kushoto,kipite nendaa...nenda...nenda...nyosha na hiyo barabara,utakutana na wamasai wanapiga stori,wapite,utaukuta m-buyu mnene uzunguke huo m-buyu utakutana na kinjia kimekata kushoto....!!!
Ephfuuuu....!!!
Mbona hunisikilizi Junior. Cux?
 
Last edited by a moderator:
dah basi wangu maana nimeshachoka kabla ata sijaanza safari, sa mpka nifike uko si wataniokota njiani.!!!
 
Alaaa! Kumbee!
Mama nibariki, Mungu anizidishie,
Mungu ni ngome kwa nyakati za shida,
Kwa raha yangu, namwozesha mwanangu,
Bahati haina dawa,
Mola uwe nasi daima,
Mungu ni nguzo kuu,
Mpe Mungu shukrani,
Mtoto kwa mzazi hakui.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…