Majina, misemo na maneno kwenye khanga

Kama akili ni nywele, wenye vipara je?

Kawia ufike

Simba mwenda kimya, jua ako gonjwa

Nani kama Mama?
 
1. Hasidi hana sababu.....

2. Chokochoko mchokoe pweza binadamu hutamuweza......


3. Alaaa kumbee....


4. Nilijua mtasema.....


5. Halahala jirani ndugu wa mbali atakusaidia nini.....



6. Tutabanana hapahapa....



7. Heri liwe roho ziwatuwe
 
Tupendanao ndio sisi tupeni nafasi.

Hii naikumbuka maana ilinifurahisha sana.
 
1. Hasidi hana sababu.....

2. Chokochoko mchokoe pweza binadamu hutamuweza......


3. Alaaa kumbee....


4. Nilijua mtasema.....


5. Halahala jirani ndugu wa mbali atakusaidia nini.....



6. Tutabanana hapahapa....



7. Heri liwe roho ziwatuwe

umefunika mdada!!!!!!!
 
Back
Top Bottom