Majina mengine mhh

Majina mengine mhh

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,943
Mkimbiajai wa mita 1500 jina lake lina utata kweli!!!

attachment.php
 

Attachments

  • ethopia.jpg
    ethopia.jpg
    72.1 KB · Views: 941
Huku Jf Sijui watu huwa wanawaza Nini, wengine ni kutafuta vituko tu.. Nimecheka I start the day
 
attachment.php


Mbona mie sione huo utata wa hilo jina........
 
Huyo wa kushoto farah kweli!

Halafu kuna jamaa yangu mkenya anaitwa kumani mbugu
 
Kwa wale ndugu zangu wa kule kwenye ID yangu kuna sehemu kule Kenya kwa wakamba panaitwa Matuu. Na ukitaka kufika Matuu lazima upitie Mbooni. Pia Kuna shule iko pale Rombo inaitwa Booni Sec School na iko njia ya Kuelekea Chumvini.
 
Shida itakuwa pale mtangazaji wa Kiswahili atakapokuwa anatangaza live anaweza kupata kigugumizi!
 
Back
Top Bottom