Majina mengine jf!!!

Kyachakiche

JF-Expert Member
Feb 16, 2009
983
207
Nimekuwa najaribu kupitia list ya wanajf, hakika kuna majina ya kuchekesha sanaa kama si kufurahisha. Hivi ulishawahi kujiuliza nini maana ya haya majina? Kwa mfano hebu cheki haya na unipe maana yake:
1.Itetei lya Kitee
2.hadiyanayamboka
3.Yo yo
4.hahanana
5.obhusengwe
6.gangilonga
7.Nesindiso Sir
8.Pakupaku
9.gavskanky
10.
11.
12.
List inaweza kuendelezwa!
 
Kwa kukusaidia jamaa yangu mmoja amenambia kuwa Iteitei lya kitee inamaanisha Chupi/Bikini ya Mbwa... Labda wenye majina husika waje watuambie maana yake halisi.....
 
Mkuu kila ID ya mtu hapa ina maana yake.....ukitaka muuliza kila mmoja na ID yake akwambie
 
Kwa kukusaidia jamaa yangu mmoja amenambia kuwa Iteitei lya kitee inamaanisha Chupi/Bikini ya Mbwa... Labda wenye majina husika waje watuambie maana yake halisi.....
Hata mimi nimeambiwa hivyo mkuu ndo maana nikasema mengine yanachkesha sana.
 
Kwa kukusaidia jamaa yangu mmoja amenambia kuwa Iteitei lya kitee inamaanisha Chupi/Bikini ya Mbwa... Labda wenye majina husika waje watuambie maana yake halisi.....
Acha masihara lini uliona mbwa amevaa chupi?Au unamaanisha ni chupi /bikini iliyotokana na ngozi ya mbwa?
 
Japo natambua kuwa kutumia ID ni moja ya security ya mtoa/mchangia mada. Lakini nadhani JF imeshakuwa na kukomaa. Ifike siku kila mtu atumie jina lake kamili. Kwani kuna ubaya gani? Kama mbunge anaweza kusisimama na kuomba mungu awalaani mawaziri wazi wazi, sisi tunatatizo gani kusema hadharani (using our real identities).

I think this will add value to JF, tutoke kizani tuje peupe.
 
ni kichaga na kweli maana yake ni chupi la mbwa(itei tei lya kitee),kyachakiche...acha na ije../ na lolote liwe

NGULI, Hao 'wazee' wawili wanaotembea hapo juu wananiacha hooi kabisa!, una visa ndugu yangu!
au mmojawapo ni wewe??
 
Naona mmeishiwa sera VICHWANI nyie watu

Mkuu, wakati mwingine vichwa vinahitaji ku-refresh, kuwaza mambo magumu kuila wakati unaweza kudata! yaani kidakika Membeee, Rostamuuu, Ufisadiiii, Bungeee! n.k
usijali, wazee hawa bado wako makini wameamua tu kufurahia majina ya kisanii hapa JF.
 
mukide mtaalam usijali
Msanii usiseme hivyo sometimes we need to refresh,sio kila siku tu tunachangia mada nzito nzito,zikija kama hizi tunacheka tunafurahi na kupata burudani.
wow nimekupata
nilikuwa nawachemsha tu wakuu!!!
 
Back
Top Bottom