Majina mengine jf!!!

Mkuu SnEafer,

Hujakosea sana ingawa hukupatia....Na hii yathibitisha kweli we ni SNEAFER!
Tangu utoto wangu nywele hazijawahi kuota. JITU=Kweli niko bold na PARATUPU=Kichwa changu hakina unywele hata mmoja tangu nizaliwe. Nashukuru zama tulizonazo sasa UPARA ni moja ya fashini. Enzi za AFRO nilikuwa najisikia vibaya mbele za watu. Me ndio PARATUPU.
 
mmhh, hii sehemu kidogo ni interested,
kabla sija shikwa shati bora niseme nick yangu inamaana gani.
Kila nick inamaana na i'm sure yangu karibu wote mnajua maana yake, lakini chenye point zaidi ni kwanini nilipewa hiyo nick.
wengi wameumiza kichwa kutoka na nick zao mi nilishikishwa na coleagues wangu kutokana na tabia niliyo kuwa naye in the world of computing..
cheers
Poa mkuu kwa kutuhabarisha, inafurahisha kwa kweli.
 
Nimekuwa najaribu kupitia list ya wanajf, hakika kuna majina ya kuchekesha sanaa kama si kufurahisha. Hivi ulishawahi kujiuliza nini maana ya haya majina? Kwa mfano hebu cheki haya na unipe maana yake:

3.Yo yo
lina maana saana.........mtu mwenye akili nyingi,busara na kadhalika......
 
Hayo ni majina ya kichagga. Infwact nilivyoliona hilo jina la Itei tei lya Kitee nilicheka sana. Kwa sababu litei tei ni lichupi la mbwa sasa nilikuwa najaribu kuimagine hilo lichupi la mbwa limekaaje kaaje. Lakini ni jina zuri. Kuna majina mengine kama hilo la kyacha kiche nalo ni la kichaga maana yake ni acha kije wenye kujua mtanisahihisha. Mimi jina linalonivutia ni la KANA- KA- NSUNGU nina uhakika ni la kisukuma.

Hii KANA KA NSUNGU imekaa kama vile Mwana wa Mzungu....just guessing
 
Nimekuwa najaribu kupitia list ya wanajf, hakika kuna majina ya kuchekesha sanaa kama si kufurahisha. Hivi ulishawahi kujiuliza nini maana ya haya majina? Kwa mfano hebu cheki haya na unipe maana yake:
1.Itetei lya Kitee
2.hadiyanayamboka
3.Yo yo
4.hahanana
5.obhusengwe
6.gangilonga
7.Nesindiso Sir
8.Pakupaku
9.gavskanky
10.
11.
12.
List inaweza kuendelezwa!

ebbynature?????????????????????????
 
Kuna mtu hapa anajikausha!! Jina lake KINDIMBAJUU. Sasa huyu sijui amepata wapi inspiration ya hili jina. Nimewaza nikaona mawazo yanaelekea kubaya.

HAPPY INDEPENDENCE DAY!!
 
Kuna mtu hapa anajikausha!! Jina lake KINDIMBAJUU. Sasa huyu sijui amepata wapi inspiration ya hili jina. Nimewaza nikaona mawazo yanaelekea kubaya.

HAPPY INDEPENDENCE DAY!!

Mkuu nimekurudisha nyuma tuu, ulipata maana?
 
Kwa kukusaidia jamaa yangu mmoja amenambia kuwa Iteitei lya kitee inamaanisha Chupi/Bikini ya Mbwa... Labda wenye majina husika waje watuambie maana yake halisi.....
hahahaaaaa!!! kite kabisa
 
Kuna mtu hapa anajikausha!! Jina lake KINDIMBAJUU. Sasa huyu sijui amepata wapi inspiration ya hili jina. Nimewaza nikaona mawazo yanaelekea kubaya.

HAPPY INDEPENDENCE DAY!!
Kindimbajuu hili ni jina la kijiji huko wilaya ya mbinga mbele kidogo ya kijiji kinaitwa Rwanda ukiwa unaelekea direction ya Lituhi. Hivyo inawezekana huyu jamaa anayejiita jina hili anatokea huko.
 
Back
Top Bottom