Majina mengine bwana

Tatizo hawa jamaa wanapenda sana sifa
Mfano yule jamaa simu yake ya ofisi (landline) ilikuwa ilikuwa mbovu sasa kaona mtu anakuja ofisini akaanza kuzuga anaongea na simu kama dk 5 hivi, then anataka kujua yule mgeni kaja kufanya nini, alah kumbe ni fundi kaja kutengeneza ile simu.
Sifa zingine siyo jamani.
 
Mshkaji mwingine wa huko huko akaniambi eti kwenye ukoo wao hakuna mtu mwenye elimu chini ya form four! Tena anadai wenye elimu ya form four ni ma house boys na house girls! Mambo hayo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom